Text Widget

Recent Posts

Agosti 09, 2014

MAN UNITED INAUZA WACHEZAJI WAKE HAWA NA BEI ZAO ZIKO HAPA

Manchester United imetangaza rasmi wachezaji ambao wanaweza kuondoka na bei zao.

Marouane Fellaini, Zaha, Chicharito, Shinji Kagawa, Anderson na Nani.
Hao ndiyo wanaoouzwa Barcelona imefanikiwa kumsainisha nahodha wa Arsenal, Thomas Vermaelen kwa kitita cha pauni milioni 15.

0 comments:

Chapisha Maoni