Text Widget

Recent Posts

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Politics. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Politics. Onyesha machapisho yote

Machi 15, 2014

TAZAMA PICHA:BASI LA KAMPUNI YA JAPANESE LAPATA AJALI WILAYANI MAKETE,NJOMBE

Basi la kampuni ya Japanese Express linalofanya safari zake kati ya Makete - Njombe likiwa limetumbukia mtoni mpakani mwa kata ya Lupalilo na tandala wilayani Makete mkoani Njombe, zaidi tazama picha zifuatazo hapa chini.…

Januari 04, 2014

Meno ya tembo 81 yakamatwa Tanzania.

Watu wawili wanashikiliwa na polisi nchini Tanzania baada ya kukamatwa na shehena ya meno
ya tembo katika bandari ya Dar es Salaam, waliyokuwa wakisafirisha kiharamu maafisa wa nchi hiyo wamesema.

Desemba 12, 2013

Jinsi kitendo cha Obama kumsalimia Castro kilivyopingwa Marekani.


cnn 1Baadhi ya Maseneta wa majimbo mbalimbali nchini Marekani wamekosoa kitendo cha Rais wa nchi hiyo
Barack Obama kupeana mkono na kiongozi wa Cuba Raul Castro wakati wa kumuaga mzee Nelson Mandela Johannesburg South Africa.

Desemba 11, 2013

Polisi 5 wauawa mpakani mwa Kenya na Somalia.



Idara ya polisi nchini Kenya imesema kuwa polisi watano na raia wawili wameuawa katika shambulio dhidi yao kwenye mpaka wa Kenya na Somalia.

Polisi wengine wawili hawajulikani waliko.
Shambulizi hilo lilifanyika katika barabara iliyoko kati ya kambi kubwa zaidi ya wakimbizi duniani ya Dadaab na mji wa Mashariki wa Liboi.