Text Widget

Recent Posts

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo love. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo love. Onyesha machapisho yote

Mei 21, 2014

FAHAMU TIBA MBADALA YA NGUVU ZA KIUME AMBAYO HAINA MADHARA KABISAA.

 


Matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume ni moja kati ya tatizo sugu linalowasumbua wanaume wengi sana na hata kufanya wanaume hawa wasifurahie mapenzi na hata tendo la ndoa. Tatizo hili husababishwa sababu lukuki ikiwemo upigaji punyeto uliokithiri,vyakula visivyo na protini ya kutosha kama vile chips na nafaka zilizokobolewa nk.

NU JOINT COOL BOYS NISEME NA NANI


Mei 20, 2014

KWA WAPENDA CHAJA PINI NDOGO:YAJUE MADHARA HAYA YA KUFANYA NGONO KINYUME NA MAUMBILE

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhMSI7tl7AJZji0CIYHEtgHzS_6xVcsFhrysPQmsXb11K8pLR4q3dETK8qp4i5G4AuPHbG510OyzbKidjwuVKCSFTtnozpWOELBRBNMa3zosXGw2fS66VVEzsrt-VHlS07Lzke4NCtBzD4/s1600/MBUZI.jpg
Habari ndugu mdau wa blog hii,natumaini upo poa na unapendezewa na post zetu,leo tugusie madhara ya kuruka ukuta yaani ngono ya kinyume na maumbile.

Tunapoamua kufanya jambo sio kwamba

Mei 19, 2014

Christian Bella Ft Ommy Dimpozi - Nani Kama Mama.(Official Video)

Christian Bella Obama

Umelisoma hili:Wanawake wataka mapadre waruhusiwe kuoa.

 
 Kundi moja la wanawake walio na hisia za kimapenzi na mapadre wa kikatoliki wamemuandikia barua kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis ya kumtaka kubadilisha sheria za kanisa hilo zinazowazuia viongozi hao wa dini kuoa.

SOMA HII:HII NDIO GHARAMA YA VIDEO MPYA YA DIAMOND ft IYANYA, PIA TAZAMA PICHA ZAKE HAPA.

Screen Shot 2014-05-19 at 8.13.34 AM

Diamond alikwenda Uingereza kwa ajili ya kufanya video ya wimbo wake na Iyanya ambayo imegharimu zaidi ya dola za kimarekani elfu 20 (zaidi ya milioni 30 za Tanzania) kutokana na ukubwa wa director wenyewe, malazi, mavazi, kusafirisha watu kutoka Nigeria pamoja na mahitaji mengine.....TAZAMA PICHA ZA DIAMOND NA OMMY DIMPOZ, HAPA...........

Mei 18, 2014

TAZAMA MAVAZI YA HATARIII KWENYE SHOW YARECHO NI TATIZO!

Msanii na Sexy lady wa Bongo Fleva, Winfrida Josephat ‘Recho’ akifanya vitu vyake jukwaani.
Stori: Mayasa Mariwata na Denis Mtima
Ni tatizo! Sexy lady wa Bongo Fleva, Winfrida Josephat ‘Recho’ ametia fora baada ya kutinga kipensi

PATA MAUJANJA KTK PENZ LAKO, MAMBO YATAKAYOKUFANYA UONEKANE BORA KWA MPENZI WAKO MUWAPO CHUMBANI.



Wapenzi ambao wapo katika uhusiano lakini hawajui mambo ya kufanya ili wawe bora kwa wapenzi wao. Mada hii itagusia pande mbili. Upande wa kwanza ni kwa wale ambao ndiyo kwanza wapo katika hatua za mwanzo kabisa na wapenzi wao na upande wa pili ni kwa wale ambao tayari wapo katika uhusiano lakini hawajui jinsi ya kuwafanya wawe bora kwa wapenzi wao.
Inawezekana wewe ukawa mmoja wao, sasa huna sababu ya kukata tamaa na kuona kuwa huna thamani tena kwa mpenzi wako. Kwa kufuatilia vyema vipengele 10 vifuatavyo, nina imani utakuwa mpya na penzi lako litazidi kudumu zaidi na zaidi.
1. MWANZO WA PENZI
Siku zote nimekuwa nikisisitiza kuwa, jinsi unavyoanza ndivyo utakavyomaliza! Kama ulianza vibaya uhusiano wako tegemea kumaliza vibaya, lakini kama
Kama unatarajia kuingia katika uhusiano na mpenzi mpya hakikisha hujionyeshi tofauti na hali yako halisi ilivyo! Jifunze kujikubali, hata kama unafanya kazi ambayo unadhani ni hadhi ya chini, mbainishe mpenzi wako hali halisi ilivyo. Kama anakupenda, kazi yako haiwezi kupunguza mapenzi baina yenu.
Ikiwa ndiyo kwanza mnaanza uhusiano, zingatia hili, na kama mpo katika uhsiano kwa muda mrefu ukagundua wazi kuwa kuna mahali ulikosea, anza kufanya mabadiliko kuanzia sasa. Bado hujachelewa, mwambie ukweli naye atakuheshimu kutokana na ukweli wako.
Kudanganya hakuna mantiki, kudanganya ni utumwa, usikubali kuingia katika utumwa au kifungo cha aina hiyo. Ukweli ni silaha ya kwanza katika mapenzi, anza hivyo kuanzia mwanzo na kama ulikosea, ulijisahau au hukujua, basi anza leo!
2. USIJICHUKIE
Itakuwa kichekesho kama utasema unampenda mpenzi wako wakati wewe mwenyewe hujipendi! Huwezi ukasema unamthamini mpenzi wako wakati thamani yako mwenyewe huitambui.
Naamini tunakwenda sawa, kama unashindwa hata kuoga na kubadilisha nguo safi nani atakayekupenda? Huwezi kuwa wa kisasa kama huzingatii usafi, hakuna atakayevutiwa na wewe kama wewe hutaki kujivutisha. Sio ajabu mpenzi wako akakutosa kwa sababu tu huna muonekanano mzuri kwa rafiki zake.
Nani atakayekupenda wakati wewe mwenyewe huonyeshi kama unajitambua?
Jikubali, jithamini! Kuwa msafi wakati wote, kauli zako ziwe safi siku zote mpenzi wako atakuwa huru kuwa na wewe. Isifikie hatua mpenzi wako akataka kutoka na wewe lakini akasita kwasababu hajui ukija utakuwa umevaa nguo za namna gani. Upo hapo?
3. MWONEKANO WAKO
Mwonekano wako unaweza kukuanisha jinsi ulivyo kwa wanaokutazama, wakati mwingine inawezekana ukatafsirika tofauti na ulivyo kutokana na jinsi unavyovaa na tabia zako zingine!
Lazima uwe kijana wa kisasa, kwa kuzingatia hilo unapaswa kuwa makini kwa kila kitu kinachoonekana kwa wanaokutazama. Jenga mazoea ya kutambua aina ya nguo na mahali ulipo, usivae nguo za ufukweni ofisini au nguo za mtaani ukavaa ofisini!
Wanaokuangalia wanapata taswira ya jinsi usivyo makini au makini kutokana na mavazi yako. Vaa nguo safi kila wakati, labda kama unafanya kazi ambayo inakulazimu kuwa mchafu, ila baada ya hapo unapaswa kuwa msafi. Ukizingatia hili utamfanya mpenzi wako afurahie kuwa na wewe siku zote. Amini popote ulipo, jinsi ulivyo ndivyo anavyoonekana mpenzi wako.

FILAMU YA ZENA NA BETINA YAMTIA MATATANI MWANADADA NISHA,, ATOZWA FAINI MILIONI 100 NA GZETI LA SANI

Zikiwa zimesalia siku kumi na mbili Zena NA Betina kulitikisa soko la filamu Bongo


MWANADADA Salma Jabu Nisha akizungumza na Website hii ya masainyotambofu.com asubuhi ya leo alizungumzia suala la kuchimbwa mkwara mzito na Gazeti La Sani kwa kuambiwa alipe fedha taslimu za kitanzania Shilingi milioni 100 iwapo anataka kuendelea kuyatumia majina hayo ya Zena NA Betina au laa sivyo atashtakiwa na Gazeti hilo. 


Nisha alisema: Jamani navyoelewa katika sheria ya
jamhuri ya muungano watanzania ya mwaka 1971ibara ya pili kifungu 'A' kuhusu matumizi ya majina ina sema kila mtu anahaki ya kutumia jina lolote alipendalo mradi awe amepewa na wazazi au kurithi, 

Majina hayo ni ,A' MAJINA YA ASILI, mfano Mwajuma, Amina,Zena, Hamis, Kabuti n.k, Kupitia sheria hii ndio maana unakuta majina hufanana..
 

Swali je wenye majina yao kweli hao wa kina zena wakiamua washtaki gazeti la sani kwa kuwafananisha na katuni wanaweza kuwalipa zena wote Tanzania?....Hakuwa na mengi ya kusema Nisha bebe bali alimalizia kwa kusema kuwa mashabiki wake wakae mkao wakula ZENA na BETINA zimesalia siku kumi na mbili iwasili madukani kote.



Salma Jabu Nisha
CHANZO:MASAI NYOTA MBOFU

kama kujapata bahati ya kutazama video yaMwasiti - Serebuka hii hapa


Mwasiti Serebuka_full

Desemba 11, 2013

Kisa cha jamaa aliye muoa mwanamke asiye binadamu wa kawaida.

One guy came from Mbeya and Tanga to search for life, arrived there he had the opportunity to become a manager in a factory where the famous one in the city.


Kijana huyu alikuwa ni mtu wa kujirusha sana na alikuwa akiamini ya kuwa hakuna furaha zaidi ya kula bata akiwa bado mzima na meno yangali yapo.