Wanawake wengine wanayo njia mbali mbali ya ajabu kama hii ya kuingiza
vitu vibaya duniani Ebu! tazama kwenye picture hizi Model Na Actress
Stephanie Seymore akizidi kuchukua picture hatari sana pamoja na
wanaume mbalimali hata mwanae wa kumzaa...
Haya yote kwa sababu ya Pesa. Hii
tabia ya kushikashika, na kubusu busu mpaka mdomo na matiti na mtoto
mzazi haijalishi ni baba kwa binti yake au mama kwa kijana wake si mzuri
katika jami yetu wa leo....hii haina tofauti na mwanzo wa sodoma na gomora kabisa....
0 comments:
Chapisha Maoni