Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo music. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo music. Onyesha machapisho yote
Septemba 02, 2014
Download Na Uskie Chors Ya Wimbo Wa Bloggr Lindege WE RUN [AUDIO]
Posted on Jumanne, Septemba 02, 2014 by Unknown
Mei 19, 2014
SOMA HII:HII NDIO GHARAMA YA VIDEO MPYA YA DIAMOND ft IYANYA, PIA TAZAMA PICHA ZAKE HAPA.
Posted on Jumatatu, Mei 19, 2014 by Unknown
Diamond alikwenda Uingereza kwa ajili ya kufanya video ya wimbo wake na Iyanya ambayo imegharimu zaidi ya dola za kimarekani elfu 20 (zaidi ya milioni 30 za Tanzania) kutokana na ukubwa wa director wenyewe, malazi, mavazi, kusafirisha watu kutoka Nigeria pamoja na mahitaji mengine.....TAZAMA PICHA ZA DIAMOND NA OMMY DIMPOZ, HAPA...........
Machi 03, 2014
Mkenya,"Lupita Nyong'o" anyakua tuzo la Oscar
Posted on Jumatatu, Machi 03, 2014 by Unknown
Lupita Nyong'o
Kama ilivyokuwa imetarajiwa na
wengi mwigizaji mashuhuri kutoka Kenya Lupita Nyong'o amenyakuwa tuzo la
Oscar la mwigizaji msaidizi wa kike kwa jukumu lake la kuelezea masaibu
ya Patseh katika filamu ya utumwa ya ''12 Years A Slave.''
Machi 02, 2014
: PNC afunguka baada Ostaz Juma kuweka picha ikionesha anampigia magoti, Ostaz nae aleleza sababu ya kupost picha hiyo
Posted on Jumapili, Machi 02, 2014 by Unknown
Jumatano (February 26, 2014), Boss wa Watanashati Ostaz Juma
alipost picha kwenye ukurasa wake wa Facebook ikimuonesha PNC akimpigia
magoti kumuomba msamaha na kuandika “hahaha jamani mziki ni kazi pnc
arudi kuomba msamaha ili aendelee kufanya kazi mtanashati”. Kitendo
ambacho kilipondwa na wengi na kuonekana kama ni udhalilishaji.
Januari 17, 2014
Desemba 22, 2013
BAADA YA BIFU ZITO LA NEY WA MITEGO NA HAJI RAMADHANI WAKAA MEZA MOJA BAADA YA KUMALIZA TOFAUTI ZAO"TAZAMA HAPA"
Posted on Jumapili, Desemba 22, 2013 by Unknown
Ney wa Mitego ambaye ni msanii mkubwa wa hip hop nchini amekuwa akiwakasirisha wasanii wa watu weng kutokana staili yake ya uimbaji ambayo watu wengi husema matusi ameketi meza moja na kupiga picha ya pamoja na Haji Ramadhani ambaye aliimbwa na Ney katika wibo wa ney uitwao NASEMA NAO na ktka verse isemayo "HAJI RAMADHANI KACHOKA YUKO KITAANI".
Vile vile ney aliwataja watu wengi katika wimbo huo akiwemo Madame ritha na Walter chilambo
Vile vile ney aliwataja watu wengi katika wimbo huo akiwemo Madame ritha na Walter chilambo
Desemba 12, 2013
SOMA HAPA ZAIDI,"MAIMATHA WA JESSE ATAMBA KUWA VIKWAZO VINAMBEBA".
Posted on Alhamisi, Desemba 12, 2013 by Unknown
MTANGAZAJI maarufu nchini, Maimatha Jesse amesema vikwazo anavyokutana navyo katika kazi zake ndivyo vinavyomfanya afanikiwe katika mambo yake ambayo amedhamiria kuyafanya.
Maimatha alisema anakumbana na vikwazo vingi katika kazi zake mbalimbali wakiwemo baadhi ya watu ambao huamua kumwangusha kwa makusudi ili tu asifikie kile alichokusudia kukifanya.
Desemba 11, 2013
TAZAMA HAPA,"VIDEO: MZEE SMALL ATOA LAANA KWA MTU ALIYEMZUSHIA KIFO....MTAZAME HAPA!"
Posted on Jumatano, Desemba 11, 2013 by Unknown
Msanii mkongwe wa vichekesho Said Ngamba almaarufu kama Mzee Small, amemlaani mtu aliyetoa taarifa za uongo kuwa amefariki dunia jana usiku.
Mzee Small akiwa nyumbani kwake Tabata,pamoja na familia yake leo hii.
Akizungumza na Paparazi wetu aliyemtembelea nyumbani kwake Tabata Mawenzi leo asubuhi, Small amesema alipatwa na mshituko baada ya kupata taarifa kuwa kuna watu wanasambaza taarifa kuwa amefariki dunia, na kumlaani mtu aliyosambaza taarifa hizo za uongo.
Mzee Small akiwa nyumbani kwake Tabata,pamoja na familia yake leo hii.
Akizungumza na Paparazi wetu aliyemtembelea nyumbani kwake Tabata Mawenzi leo asubuhi, Small amesema alipatwa na mshituko baada ya kupata taarifa kuwa kuna watu wanasambaza taarifa kuwa amefariki dunia, na kumlaani mtu aliyosambaza taarifa hizo za uongo.
Desemba 10, 2013
Nilimuandikia Matonya Vaileth na Dunia Mapito Ila Hakuwa na Utu - Tunda Man.
Posted on Jumanne, Desemba 10, 2013 by Unknown
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Tunda Man hivi karibu alizungumzia kwa namna alivyokuwa akimtungia nyimbo msanii wenzake wa muziki huo aitwa Matonya na fadhila alizozipata.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)