Amber Rose Akiwa Na Mume Wake Wiz Khalifa, Wamesherekea Siku Ya Amber Ya Kuzaliwa Pamoja. Fahamu kuwa Amber Rose amezaliwa siku moja na mchumba wa x Boy Friend wake Kanye West ambaye ni Kim Kardishian, Wote wamezaliwa 21 October. Pamoja na kuwa na majukumu ya ziara za muziki Wiz Khalifa ameweza kupata nafasi ya kuwa na baby mama wake kwenye birthday yake.
Oktoba 24, 2013
HIZI NI BAADHI YA PICHA ZA BIRTHDAY YA AMBER ROSE AKIWA NA WIZ KHALIFA ILIFUNIKA HATARIIIIIII!
Posted on Alhamisi, Oktoba 24, 2013 by Unknown
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni