Text Widget

Recent Posts

Oktoba 24, 2013

SALAMA JABIL ADAIWA KUWATUKANA WASHIRIKI 20 WA EPIQ BONGO STAR SEARCH




** *Mtangazaji wa Kipindi cha Mkasi kinachorushwa hewani kupitia kituo cha EATV Salama Jabir, wa pili kutoka kushoto ameshutumiwa kutukana kwa kutumia ishara ya kidole wakati walipokuwa kwenye moja ya haraka za kurekodi matukio ya kipindi cha EPIQ BSS 2013, kinachorushwa hewani kupitia kituo cha TBC1, Salama alifanya kituko hicho akiwa ameketi mezani na Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Bongo Profesa Jay wa kwanza kutoka kushoto,mratibu wa Shindano la Bongo Star Search Madam Lita katikati na Master Jay.*  

0 comments:

Chapisha Maoni