Basi
la kampuni ya Japanese Express linalofanya safari zake kati ya Makete -
Njombe likiwa limetumbukia mtoni mpakani mwa kata ya Lupalilo na
tandala wilayani Makete mkoani Njombe, zaidi tazama picha zifuatazo hapa
chini.…

chini.
Katika
ajali hii, abiria wameumia na kutibiwa katika hospitali ya Ikonda,
hakuna abiria aliyefariki na kwa mujibu wa abiria waliokuwemo kwenye
basi hilo wamesema chanzo cha ajali hiyo ni basi hilo kukutana na gari
jingine kwenye daraja hili jembamba hivyo katika harakati za kumpisha
mwenzake ili wasigongane uso kwa uso, ndipo basi hili lilipopoteza
uelekeo na kutumbukia mtoni. Basi hilo lilikuwa likitokea Njombe kuja
Makete mjini.
0 comments:
Chapisha Maoni