Star maarufu wa filamu Swahiliwood Salma Jabu Nisha yupo location maeneo ya Dar es salaam akishuti filamu yake mpya huku akiwa amemshirikisha Agnes Masogange ambaye ni video queen maarufu nchini. Katika filamu hiyo mpya pia yupo Jenifer aliyetamba na marehemu Kanumba katika filamu za Uncle JJ na
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo gossip. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo gossip. Onyesha machapisho yote
Januari 20, 2014
TAZAMA UCHEKE SANA:"BEHIND THE SCENES: NISHA, AGNES MASOGANGE, JENIFER NA SENGA NDANI YA FILAMU MPYA.'
Posted on Jumatatu, Januari 20, 2014 by Unknown
Desemba 16, 2013
TAZAMA PICHA ZA BONGE LA HOTELI YA KITALIII ZANZIBAR
Posted on Jumatatu, Desemba 16, 2013 by Unknown
Desemba 11, 2013
TAZAMA HAPA,"VIDEO: MZEE SMALL ATOA LAANA KWA MTU ALIYEMZUSHIA KIFO....MTAZAME HAPA!"
Posted on Jumatano, Desemba 11, 2013 by Unknown
Msanii mkongwe wa vichekesho Said Ngamba almaarufu kama Mzee Small, amemlaani mtu aliyetoa taarifa za uongo kuwa amefariki dunia jana usiku.
Mzee Small akiwa nyumbani kwake Tabata,pamoja na familia yake leo hii.
Akizungumza na Paparazi wetu aliyemtembelea nyumbani kwake Tabata Mawenzi leo asubuhi, Small amesema alipatwa na mshituko baada ya kupata taarifa kuwa kuna watu wanasambaza taarifa kuwa amefariki dunia, na kumlaani mtu aliyosambaza taarifa hizo za uongo.

Kisa cha jamaa aliye muoa mwanamke asiye binadamu wa kawaida.
Posted on Jumatano, Desemba 11, 2013 by Unknown
One guy came from Mbeya and Tanga to search for life, arrived there he had the opportunity to become a manager in a factory where the famous one in the city.
Kijana huyu alikuwa ni mtu wa kujirusha sana na alikuwa akiamini ya kuwa hakuna furaha zaidi ya kula bata akiwa bado mzima na meno yangali yapo.
Kijana huyu alikuwa ni mtu wa kujirusha sana na alikuwa akiamini ya kuwa hakuna furaha zaidi ya kula bata akiwa bado mzima na meno yangali yapo.
Desemba 07, 2013
NI HATARIIIIII!!!!>DANGURO LA UCHI LAFICHULIWA BUGURUNI DAR.GHARAMA YA CHUMBA NI 1200,KUMLIPA MALAYA NI SH 5000"SOMA HAPA ZAIDI".
Posted on Jumamosi, Desemba 07, 2013 by Unknown
JUMBA linalodaiwa kutumika kuendesha shughuli za ukahaba limebainika kuwapo katika eneo la Buguruni, jijini Dar es Salaam.
Uchunguzi uliofanywa umebaini kuwapo kwa jumba ambalo linatumika kama nyumba ya kulala wageni, ambako idadi kubwa ya makahaba hujazana na kuendesha biashara ya kuuza miili yao bila wasiwasi.
Wasichana wanaofanya biashara hizo hutoza kiasi cha sh 5,000 kama huduma ya ngono na chumba kwa matumizi ya muda mfupi.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)