Text Widget

Recent Posts

Machi 12, 2014

EPUKA ULEVI ULIOKITHIRI NOMAAA SANA...PICHAZ..JIONEE MWENYEWE MENEJA ALIVYOFANYWA KITU MBAYA BAADA YA KUVIFAKAMIA VIROBA...!


Meneja wa Club ya V.I.P mjini Iringa Mick akiwa amezima baada ya kunywa viroba na kisichana kwa kuonyesha uwezo wake na baada ya dakika 20 akazima kama hivi ,hapa nalazimika kukumbuka ule ujumbe wa chonde chonde! ulevi Nomaaaaaaaaaa!?


Ukisema ulevi noma wapo watakaosema ulevi ni sehemu ya kupoteza mawazo ila kwa tukio hilo kila mmoja anaweza ungana nami kuwa kweli ulevi noma hapa ni eneo na TFA mjini Iringa ambapo meneja huyu wa Club ya V.I.P akiwa amezima kwa kunywa pombe kupita kiasi 
Wasamaria wema wakimtazama meneja huyo chapombe akiwa amezima
Mlinzi wa eneo la TFA akijaribu kumsaidia baada ya polisi kufika na kuamua kumwacha kutokana na ugonjwa wake wa pombe kutokuwa na daktari wa kutibu



0 comments:

Chapisha Maoni