Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (wapili kulia) akimshukuru
Ofisa wa Mawasiliano na Uhusiano wa Kampuni ya Vodacom Tanzania, Georgia
Mutagahywa (kushoto) baada ya kupokea hundi yenye thamani ya Sh.
Milioni 40 msaada uliotolewa kwa ajili ya Wiki ya Nenda kwa Usalama
Barabarani inayotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi Septemba mwaka
huu, jijini Arusha.
Wapili
kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu, na kulia
ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Naibu Kamishna, Mohamed
Mpinga. Makabidhiano hayo yalifanyika katika Ukumbi wa Wizara hiyo,
jijini Dar es Salaam leo.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (wapili kulia) akimshukuru
Ofisa wa Mawasiliano na Uhusiano wa Kampuni ya Vodacom Tanzania, Georgia
Mutagahywa (kushoto) baada ya kupokea hundi yenye thamani ya Sh.
Milioni 40 msaada uliotolewa kwa ajili ya Wiki ya Nenda kwa Usalama
Barabarani inayotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi Septemba mwaka
huu, jijini Arusha. Wapili kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini,
IGP Ernest Mangu, na kulia ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani
nchini, Naibu Kamishna, Mohamed Mpinga. Makabidhiano hayo yalifanyika
katika Ukumbi wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (wapili kulia) akizungumza
na waandishi wa habari (hawapo pichani) baada ya kupokea hundi ya Sh.
Milioni kwa ajili ya maandalizi ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani,
kutoka kwa Ofisa wa Mawasiliano na Uhusiano wa Kampuni ya Vodacom
Tanzania, Georgia Mutagahywa (watatu kulia). Wiki ya Nenda kwa Usalama
Barabarani inatarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi Septemba mwaka huu,
jijini Arusha. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil.
Wapili kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu, na
kushoto ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Naibu Kamishna,
Mohamed Mpinga. Makabidhiano hayo yalifanyika katika Ukumbi wa Wizara
hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Picha zote na Felix Mwagara wa Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi.
PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
chanzo:full shangwe.
0 comments:
Chapisha Maoni