Matatizo ya upungufu
wa nguvu za kiume ni moja kati ya tatizo sugu linalowasumbua wanaume wengi sana
na hata kufanya wanaume hawa wasifurahie mapenzi na hata tendo la ndoa. Tatizo
hili husababishwa sababu lukuki ikiwemo upigaji punyeto uliokithiri,vyakula visivyo
na protini ya kutosha kama vile chips na nafaka zilizokobolewa nk.
AYUVERDA
ni tiba yenye asili ya kihindi ambayo inasaidia sana
katika kurefusha,kunenepesha na kuupa nguvu uume na mwili kwa
ujumla,tiba hii huangalia mambo muhimu kama ulaji,usafi wa
mwili,ufanyaji wa mazoezi,afya ya akili,tabia za kiroho nk.
Tiba hii ni maarufu sana kwani
ilianza kutumika miaka elfu tano iliyopita na hakuna madhara yoyote yaliyowahi
kuripotiwa juu ya tiba hii kwani ni salama na haina madhara yoyote.
0 comments:
Chapisha Maoni