Text Widget

Recent Posts

Agosti 09, 2014

YALIYOJIRI SIMBA DAY: SHABIKI LA YANGA LAVAMIA MNUSO WA SIMBA SC


Shabiki wa Yanga SC akipata chakula kwenye sherehe za uzinduzi wa la Simba SC la Home Boys, liliopo Wazo eneo la Tegeta mjini Dar es Salaam juzi.
Shabiki huyu aliibuka kwenye sherehe ys wana Simba SC na kwenda kujichukulia msosi kisha akaanza kutandika taratibu
Wana Simba SC walimchukulia poa tu

0 comments:

Chapisha Maoni