Baada ya Blogs na Magazeti Kumwandika sana Ashley Toto Mwanadada Kutoka Kenya Kuhusika na Kuvunjika kwa ndoa ya Bob Junior Amejitokeza na Kuandika haya kwenye Wall yake ya Facebook
"****JAMANI NIMECHOKA NA SKEDOLS ZA UONGO ILA NAAMINI HII NI MITIHANI NA INSHAALLAH YATAISHA***I HAVE NOTHING TO DO WITH HIM...."
Tuliamua kumtafuta na kuongea nae na kusema kwa masikitiko kuwa Hana uhusiano wa kimapenzi na Bob Junior Bali wao ni marafiki tu wa Muda mrefu..Pia akasema huwa anamtafutia Show Sehemu mbali mbali ikiwemo Ujerumani anapoishi ..... So anasema amechoka kuandikwa kuhusu Bob Junio.
0 comments:
Chapisha Maoni