Text Widget

Recent Posts

Novemba 08, 2013

RAYUU" SCENES ZA MAPENZI ZAMUWEKA KATIKA WAKATI MGUMU".SOMA HAPA ZAIDI

Rayuu ambaye ni actress wa Swahiliwood amesema kuwa moja ya mambo ambayo huwa yanamuweka katika wakati mgumu anapokuwa katika kazi zake za filamu ni kuigiza scene za 
 
mapenzi na wakati mwingine humlazimu kuonja ulabu kidogo ili aende sawa. Akizungumza na 
Swahiliworldplanet Rayuu alisema "dah scenes za mapenzi me zinaniweka kwenye wakati mgumu, kama jana nimeshikwa tako yaani limeminywa dah ilibidi ninywe kwa maana Cyril Kamikaze alifanya yake"

Filamu hiyo mpya ambayo yupo na Cyril Kamikaze ambaye ni mwanamuziki wa Bongofleva inaitwa Kivuli Cha Binadamu. Rayuu pia anakuja na filamu ya Chicken Head akiwa na Vicent Kigosi(Ray), Skyner Ally na Walter De Ngonde

0 comments:

Chapisha Maoni