Wasanii wa kubwa Afrika na hata dunia nzima Peter na Paul kwa pamoja wanajulikana kwa jina la Psqure,wanaotamba duniani kote na nyimbo mbalimbali zikiwemo alingo,pesonality,do me na nyinginezo,hivi karibuni baada ya kutangazwa onyesho lao kufanyika Tanzania November 23,2013 lililo andaliwa na EATV,wakati wao wakiendelea na zihara na maonyesho mengine nchi mbali mbali.P squre walipo kuwa Lusaka hivi karibini wali sifia onyesho lao watakao lifanya Tanzania na waka tumbua siri yakuwa ujio wao Tanzania pia inachangiwa na mapenzi yao kwa watanzania huku wakitaja katika nchi mojawapo waipendao zaidi Afrika na pia wanaweza malizia ku shoot video yao mpya nchini Tanzania walisema hayo ndani ya Rock Fm,Lusaka.
Novemba 07, 2013
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni