Baada ya habari nyingi sana kuzagaa kwenye mitandao kuwa mwanadada Ray C amegeuka bondia na kumpiga kwa knock-out kali mwanadada Norah, hatimaye kupitia mtandao mmoja maarufu wa kijamii ilionekana video ikimuonesha mwanadada Norah akisema kuwa tukio hilo si la kweli na kwamba yeye na Ray C ni mashosti wa kufa mtu na kuwa habari hizo ni za uzushi.
Novemba 06, 2013
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni