SEXY lady wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’
amesheherekea mwaka mmoja na wenzake tangu alipoacha kutumia madawa ya kulevya
‘unga’.
Wikiendi iliyopita Ray C alitupia picha kwenye
ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram zilizomuonesha akiwa na wenzake
katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar ambako huwa wanapata dozi ya madawa ya
kulevya.
Aliandika: “Nawapenda sana hawa wenzangu wote,
tuligundua tatizo tukasaidiwa na sasa tumepona na tunamshukuru Mungu...Tanzania
bila madawa ya kulevya inawezekana.”
Baada ya kuandika maneno hayo wadau mbalimbali
walimpongeza Ray C na kuwataka wengine wanaotumia madawa
Novemba 11, 2013
TAZAMA SHEREHE ZA KUTIMIZA MWAKA 1 BAADA YA KUACHA MATUMIZI YA MADAWA YA KULEVYA ILIVYOKUWA
Posted on Jumatatu, Novemba 11, 2013 by Unknown
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni