: Msanii wa taarab nchini anayejulikana kwa jina la Nyawana Fundikira aliyetamba na wimbo wa 'Nipo kamili nimejipanga', amefariki dunia mchana huu kwa ugonjwa wa malaria.
Nyawana amefariki akiwa kwake maeneo ya Mwananyamala B na mwili wake sasa umepelekwa kuhifadhiwa hospitali ya Mwananyamala
Novemba 11, 2013
BREAKING NEWS;MSANII MAARUFU WA TAARABU NCHINI AFARIKI DUNIA
Posted on Jumatatu, Novemba 11, 2013 by Unknown
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni