Text Widget

Recent Posts

Juni 19, 2014

UJANA SASA BASI NATAKA KUOA

Msanii wa filamu nchini hemedy suleiman hivi karibuni alifunguka na kusema kuwa sasa ujana basi anachotaka ni kufunga ndoa na kuondokana na mambo ya ujana  Phd alisema kwa sasa nina mchumba wangu ananipenda na nina mpenda sana na mungu akipenda natarajia kufunga ndoa mwezi november mwaka huu .

0 comments:

Chapisha Maoni