Text Widget

Recent Posts

Januari 07, 2014

BAADA YA KUSHINDA SHINDANO LA MANYWELE KIGOLI HAPA NCHINI,SUZAN DANIEL AHAIDI KULEMBELEA WATOTO YATIMA -

fainali ya shindano la kigoli manywele nchini mwaka 2013 lilimtoa mshindi mahiri kutokana na sifa za umahiri wake,SUZAN DANIELambaye alipita kwa kishindo kikubwa na kutwaa taji hilo aliiambia hisia tz pale alipohojiwa na mwandishi wetu hapo jana kuwa matarajio yake baada ya shindano hilo  ni kutembelea kituo cha  watoto yatima ili kuwafariji na kuwapa zawadi mbalimbali(siku hakutaja)

pia alieleza hisia zake baada ya kunyakua taji hilo kuwa alijiskia furaha isiyo na kifan kutangazwa mshindi wa shindano hilo tarehe 21 mwezi wa 12 ,2013gezo vyake ,SUZAN DANIEL alipata nafasi ya kushinda gari ndogo ya kutembelea na zawadi zingine kama zilivyo andaliwa na mwandaaji wa shindano hilo nchini Maimatha Jesse.

0 comments:

Chapisha Maoni