ANAITWA
TY HUNTER KUTOKEA KUUZA DUKA LA NGUO MPAKA KUMVISHA QUEEN BEY,AMAEKUWA
STYLIST WAKE KWA MIAKA 16 SASA KUANZIA KIPINDI CHA DESTINYS CHILD
ALIPOKUTANA NA MAMA AKE BEYONCE AKIUZA DUKA LA NGUA TINA AKAMPENDA
WAKANZA FANYA KAZI PAMOJA BAADAE KUNDI LA DESTINYS CHILD KUFA
AKASEPETUKA NA BEYONCE.
ANAMSTYLE MAMA IVY KUANZIA MITOKO YOTE YA RED CARPET,NA TOUR ZAKE ZOTEHATA INTERVIEW . HAPA NI TY AKIWA KAZINI ANAMPELEKA BEYONCE HADI RED CARPET ESPECIALY KWA MAGAUNI MIBURUZOOO ANAMSHIKIA NA ANAMAKESURE LIMEKAA POA KWA PICHA
THEN ANASIMAMA PEMBENI MPAKA BEY AMALIZE KUPOZI WANAHAMIA PENGINE,MSIONE QUEEN BEY ANAFIKA RED CARPET PICHA MNAONA VIZURI BWANA JIGAUNI ANASHIKA TY NA KULIWEKA MKAO WA PICHA HII NI KIPINDI KILE BEYONCE KATANGAZA NI MJAMZITO HAPA AKIWA RED CARPET NA STYLIST WAKE TY
0 comments:
Chapisha Maoni