Mtoto Idda
Baita ni mwanafunzi wa darasa la 4 katika shule ya msingi ya uwanja wa
ndege moshi amevunja record ya kuwa mtoto wa kwanza wa kike kufika
kilele cha Mt Kilimanjaro chenye urefu wa M. 5739. Hapa unaweza kuona
Idda ni kiasi gani ana sikia baridi na pia kujisikia mshindi kwa kuinua
mikono juu kwa furaha ya kufika kileleni hapo.
Idda
alitumia njia ya Umbwe, Kibosho njia inayosemekana kuwa ni ngumu hata
watu wazima utokwa makamasi na jasho kuwakauka watumiapo njia hii
kuelekea kilele cha Mt Kilimanjaro. Idda amesema atakuwa balozi mzuri wa
Kilimanjaro National Park kwa watalii wanaokuja Tanzania kwa madhumuni
ya kupanda Mt Kilimanjaro.
0 comments:
Chapisha Maoni