Text Widget

Recent Posts

Julai 09, 2014

KILICHOTOKEA BRAZIL BAADA YA KUPIGWA 7-1,MASHABIKI WACHOMA BASI NA KUFANYA VURUGU,TAZAMA PICHA NA HABARI HAPA



Basi lililochomwa na mashabiki wa Brazil waliokuwa na hasira likiteketea kwa moto.
Vikosi vya zimamoto vikijaribu kuzuia moto huo.
Taswira baada ya basi hilo kuteketea kwa moto.
Polisi wakimdhibiti shabiki huko Belo Horizonte baada ya mechi ya nusu fainali.
Mashabiki wa Brazil wakiwa na majonzi baada ya kipigo cha 7-1.

BAADA ya kubugizwa mabao 7-1 na Ujerumani katika mechi ya nusu fainali ya Kombe la Dunia 2014, mashabiki wa Brazil wameamua kuchoma moto basi.

Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo huko Sao Paulo nchini humo baada ya mechi hiyo iliyopigwa Belo Horizonte.

Mashabiki walichukua hatua hiyo kutokana na hasira za timu yao kuondolewa katika michuano hiyo inayofanyika nyumbani kwao.

0 comments:

Chapisha Maoni