Habari Picha: zilizochapishwa za mauaji Iraq.
Vuguvugu la Sunni lenye msimamo mkali la ISIS ambalo limeteka maeneo ya Kaskazini mwa Iraq limesambaza picha ambazo zinaonyesha jinsi wapiganaji wake walivyoangamiza idadi kubwa ya wanajeshi wa Iraq.
Wakati huo huo, Serikali ya Marekani inafikiria kuingia katika mazungumzo ya moja kwa moja na Iran juu ya hali ya usalama huko Iraq.
0 comments:
Chapisha Maoni