Text Widget

Recent Posts

Januari 06, 2014

VIDEO YA WIMBO MPYA WA NAY WA MITEGO YAZUA BALAA, NAY NA MPENZI WAKE WAFARAKANA..! CHEKI HAPA


Mpenzi wa Nay wa Mitego hajapenda kile alichokiona kwenye video ya Nakula Ujana.


Kwa mujibu wa Nay, video hiyo imesababisha ugomvi ndani ya uhusiano wao kutokana na Nay kuonekana kwenye video hiyo akishikwa kifuani na sehemu zingine za mwilini na wasichana warembo wa Kenya.



0 comments:

Chapisha Maoni