Mwakilishi
wa Kampuchea ya Bia Tanzania (TBL) Zanzibar Samir Manji ( wa tatu
kushoto), akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil 51
wananchi wa majimbo ya Chumbuni na Mpendae ikiwa ni msaada wa kampuni
hiyo kwa ajili ya mradi wa uchimbaji wa visima vya maji safi na salama
katika majimbo hayo juzi. Wa pili kushoto ni Ofisa Uhusiano wa TBL,
Dorris Malulu.
Mwakilishi
wa Mauzo ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Kanda ya Temeke, Bw. Alen
Mwebuga (kushoto), akimkabidhi
Mganga Mkuu wa Kituo cha Afya cha Mbagala
Round Table Maternity Home, Dkt. Baturi Luhanda, mfano wa Hundi ya sh.
Milioni 20, kwa ajili ya kusaidia kuchimba kisima cha maji. Wengine
katika picha ni Afisa Uhusiano wa TBL, Bi. Doris Malulu (wa pili kulia),
Mhandisi wa mradi huo, Bw. Onesmo Zakaria na Rais wa Rotary Klab Agnes
Batenga.
(Na GPL)
0 comments:
Chapisha Maoni