Kaimu mkuu wa mkoa wa
Morogoro ambaye ni mkuu wa wilaya ya Mvomero, Anthony Mtaka akizungumza
jambo mara baada ya kuzindua rasmi upimaji wa afya kwa madereva wa
mabasi na malori ya masafa marefu ikiwa sehemu ya kuanza kwa wiki ya
nenda kwa usalama barabarani katika kituo cha mizani cha Mikese mkoa wa
Morogoro, zaidi ya madereva 200 wanatarajiwa kupimwa afya katika vituo
vya Mikese Morogoro, Mkata mkoani Pwani na Makuyuni mkoani Arusha.
kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa uhusiano na sheria wa TBL, Steven
Kilindo na kulia ni Mganga mkuu wa macho wa jeshi la polisi Dk Charles
Msenga na kaimu mkuu wa usalama barabarani mkoa wa Morogoro, Willie
Mwamasika. |
0 comments:
Chapisha Maoni