Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivua viatu vyake tayari kwa
kushiriki kulima shamba la la mpunga katika mradi wa Umwagiliaji wa kata
ya Mahenge ambao taarifa ya mradi huo imesema maendeleo yake ni mazuri
na sasa wakulima wa mashamba hayo wanaweza kuvuna mpunga kiasi cha zaidi
ya tani nne kutoka uzalishaji wa tani mbili tu hapo awali, Katibu Mkuu
yuko katika ziara ya mikoa mitatu ambapo alianzia katika mkoa wa Pwani
na sasa yuko mkoani Tanga kabla ya kuelekea mkoani Iringa ambapo
atamalizia ziara yake akikagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka
2010, Katika ziara hiyo pia Kinana anaongozana na Nape Nnauye Katibu wa
NEC Siasa, Itikadi na Uenezi.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-
KOROGWE)Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki
katika kilimo cha mashanmba ya mpunga katika shamba la mradi wa
umwagiliaji la Mahenge wilayani Korogwe kwa kutumia Power Tiller
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki
katika kilimo cha mashanmba ya mpunga katika shamba la mradi wa
umwagiliaji la Mahenge wilayani Korogwe kwa kutumia Power Tiller,
wengine ni wafanyakazi wa shamba hilo wakishuhudia tukio hilo.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiendelea
na kazi katika kilimo cha mashanmba ya mpunga katika shamba la mradi
wa umwagiliaji la Mahenge wilayani Korogwe kwa kutumia Power TillerKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akinawa miguu baada ya kushiriki katika kazi hiyo.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi kushoto na kada wa CCM Dk. Edmund Mndolwa mara baada ya kushiriki
katika kilimo cha mashanmba ya mpunga katika shamba la mradi wa
umwagiliaji la Mahenge wilayani Korogwe kwa kutumia Power TillerNape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi akishiriki ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Mahenge wilayani Korogwe leo.Mbunge
wa jimbo la Korogwe mjini Mh. Yusuf Nasir akizungumza na wananchi wa
kijiji cha Mahenge mara baada ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman
Kinana kukagua ujenzi wa zahanati hiyo, kushoto ni Henry Shekifu
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tanga.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Mkuu wa wilaya ya Korogwe Mhe. Mrisho Gambo wakishiriki kazi ya kusafisha soko la Sabasaba.Mkuu wa wilaya ya Korogwe Mhe. Mrisho Gambo akizungumza na wananchi katika tawi la CCM la Kwamsisi Juu. Mkuu wa wilaya ya Korogwe Mhe. Mrisho Gambo akizungumza na Daniel Chongolo Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano CCM.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki
katika ujenzi wa Maabara ya shule ya sekondari ya Old Korogwe kushoto
anayeshuhudia ni Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi.Baadhi ya wananchi wakiwa katika mkutano wa CCM uliofanyika kwenye uwanja shule ya Msingi Mazoezi.Nape
Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi akiwahutubia wananchi
katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi
Mazoezi mjini Korogwe.Nape
Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi akisisitiza jambo wakati
akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye
viwanja vya shule ya msingi Mazoezi mjini Korogwe.Baadhi ya wananchi wakinyanyua mikono juu wakati Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia mjini Korogwe leo.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi mjini Korogwe leoBaadhi ya wananchi waliohudhuria katika mkutano huo.Mbunge wa jimbo la Korogwe mjini Mh. Yusuf Nasir akiwahutubia wapiga kura wake mjini Korogwe.Mkuu wa wilaya ya Korogwe Mhe. Mrisho Gambo akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi ya Mazoezi mjini Korogwe.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimkabidhi
kadi ya uanachama wa CCM Bw. Athman Said aliyehamia CCM akitokea chama
cha CUF ambapo alitumikia chama hicho kama Kaimu Katibu wa wilaya ya
Korogwe.Bw.
Athman Said aliyehamia CCM akitokea chama cha CUF akitoa ushuhuda wake
mara baada ya kupokea kadi yake Athman Said alitumikia chama hicho
kama Kaimu Katibu wa wilaya ya Korogwe.Septemba 26, 2014
KATIBU MKUU WA CCM AKILIMA KWA POWER TILLER MAHENGE KOROGWE
Posted on Ijumaa, Septemba 26, 2014 by Unknown
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni