Text Widget

Recent Posts

Agosti 15, 2014

RAIS KIKWETE AWAAPISHA MAJAJI WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA WAPYA 20 IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO


 Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Benedict Bartholomew Mwingwa  kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 15, 2014
 Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Dkt Eliezer Mbuki  Feleshi   kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 15, 2014
Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe dkt John Eudes Ruhangisa kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Aqgosti 15, 2014
Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Winfrida Beatrice Korosss kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Aqgosti 15, 2014
  Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Lillian Leonard Mashaka  kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 15, 2014
 Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe David Eliadi Mrango  kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Aqgosti 15, 2014
 Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Edson James Mkasimongwa  kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Aqgosti 15, 2014
 Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Mohamed Rashid Gwae  kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Aqgosti 15, 2014
 Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Firmin Nyanda Matogolo kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Aqgosti 15, 2014
 Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Leila Edith Mgonya  kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Aqgosti 15, 2014
 Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Mhe Barke Mbaraka Aboud Sehel  kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Aqgosti 15, 2014
 Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Awadh Mohamed  kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 15, 2014
 Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Lugano Josiah Samson Mwandambo  kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 15, 2014
 Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Rose Ally Ebrahim kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 15, 2014
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Dkt Paul Faustin Kihwelo  kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Aq\gosti 15, 2014Rais

 Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Dkt Modesta Opiyo Makopolo  kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 15, 2014
 Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Amour Said Khamis kuwa  Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 15, 2014
 Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Dkt  Mary Caroline Levira kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 15, 2014
 Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Salma Mussa Maghimbi  kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 15, 2014

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete,  Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali, Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda,  Waziri wa Sheria na Katiba Dkt Asha-Rose Migiro, Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Omar Othman Makungu,  Katibu Mkuu Kiongozi  Balozi Ombeni Sefue, Mwanasheria Mkuu Jaji  Frederick Werema, Mtendaji Mkuu wa Mahakama Mhe Hussein kattanga  katika picha ya pamoja na Majaji wa Mahakama kuu ya Tanzania baada ya kuapishwa leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akiwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Omar Othman Makungu pamoja na  Majaji wa Mahakama ya Rufaa Tanzania na Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania wapya
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akiwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Omar Othman Makungu pamoja na  Majaji wa Mahakama ya Kuu Tanzania na Majaji  wapya
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akiwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Omar Othman Makungu pamoja na  majaji wapya 
  Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Omar Othman Makungu na Jaji Kiongozi   Shaban Ally Lila wakiwa na Majaji wapya 
 Rais Kikwete na Waziri wa Sheria na Katiba Dkt Asha Rose Migiro wakiwa wa wanachama wa Chama cha Wanasheria Wanawake (TAWLA) na Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania wanawake wapya
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Omar Othman Makungu na Jaji Kiongozi   Shaban Ally Lila wakiwa katika pic ha ya jumla na Majaji wapya na wa zamani 
Rais Kikwete akiongea na baadhi ya Majaji wa Mahakama Kuu baada ya shughuli ya kupiga picha. PICHA NA IKULU



0 comments:

Chapisha Maoni