Polisi wakidumisha ulinzi eneo la ajali.
LORI
lililokuwa na shehena ya mafuta lita 34,000 likitoka jijini Dar es
Salaam kuelekea mikoani Singida limeanguka asubuhi hii eneo la Kimara
Darajani, Dar na kusababisha foleni kubwa baada ya kuziba barabara huku
wananchi wakiamua kuchota mafuta kutoka kwenye lori hilo ambalo ni mali
ya Nassor Filling Station. Jeshi la Polisi liliamua kuingilia kati
kuwatawanya wananchi hao waliokuwa wakigombea kuchota mafuta eneo la
ajali.
0 comments:
Chapisha Maoni