Basi
aina ya YUTONG la kampuni ya LIM SAFARI limepata ajali eneo la kwa
Mndulu katika wilaya ya Korogwe mkoani Tanga mchana wa leo, hata hivyo
ni jambo ya kumshukuru Mwenyezi Mungu abiria wote waliokuwa kwenye basi
hilo walinusurika kifo lakini raia wawili wa kigeni waliokuwa pembezoni
mwa barabara wamejuruhiwa kwa kupata michubuko sehemu mbalimbali za
mwili
Agosti 13, 2014
BREAKING NEW BASI LA "LIM SAFARIS" LAPATA AJALI TANGA.
Posted on Jumatano, Agosti 13, 2014 by Unknown
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni