WASANII wa Bongo Movie Unity ambao
hawakuwepo katika msiba wa Adam Kuambiana wakiwa nchini Uingereza, Issa
Mussa ‘Cloud’ na Wastara Juma leo wamezuru kaburi Kuambiana pamoja na
makaburi ya wasanii wengine ambao tayari walishatangulia mbele ya haki
akiwemo John Maganga, Steven Kanumba na Zuhura Maftah Malisa.
Wakizungumza na waandishi wetu, wasanii hao wamesema kuwa ni jambo la kumshukuru Mungu lakini watazidi kuwaombea wale wote waliotangulia kwa kuwa wote wako katika njia moja.
Wastara akilia kwa uchungu.
(Picha : Shani Ramadhani, Mayasa Mariwata na Deogratius Mongela / GPL )
0 comments:
Chapisha Maoni