Text Widget

Recent Posts

Mei 23, 2014

HII NI NOUMA, HAIJAWAHI KUTOKEA:ANGALIA MWANAMKE MWENYE "HIPS" MAKUBWA KULIKO WOTE DUNIANI.

MWANAMA Mikel Ruffinelli mkazi wa Los Angeles, Marekani, amedhihirisha kuwa ndiye mwanamke mwenye ‘hips’ kubwa zaidi duniani akiwa na mzunguko wa zaidi ya futi 8.
Mama huyu wa watoto wanne amekuwa akipata shida kupitisha umbile lake la inchi 100 kwenye mlango na anahitaji nafasi ya watu wawili kwenye ndege.
Mikel mwenye umri wa miaka 39 anaendesha magari makubwa kwa vile mwili wake mwenye kilo 190 hauwezi kukaa kwenye magari madogo na anahitaji kiti chenye uimara wa ziada nyumbani.

Anasema: “Popote napokwenda, kwa uzuri au ubaya, ‘hips’ zangu zimekuwa zikwashtua watu.

“Napokuwa mitaani nikitembea huwa naskia milio ya kupigwa picha kwa simu na kamera huku watu wengine wakinicheka.
“Baadhi ya watu wanadhani nimefanya upasuaji kuongeza figa langu, lakini hii ni halisi.

Nadhani ni matokeo ya kuzaa watoto wanne, lakini hips kubwa zipo kwenye familia yetu”.

“Naposafiri kwa ndege au treni nalazimika kununua siti za watu wawili kwasababu makalio yangu hayataenea kwenye siti moja”.

0 comments:

Chapisha Maoni