Zipo sehemu nyingi sana zinazoweza kumfanya mwanamke ajisikie utamu ambao hakuwahi kuuhisi kutoka kwenye kitendo chochote zaidi ya wakati wa kufanya mapenzi, Raha hii hutegemea sana na utaalamu wa kuchezeana na kudili na sehemu zinazotoa mshawasha zaidi katika mwili.
Leo tutaangalia sikio ambalo liikishughulikiwa sawasawa huweza kumfanya aongee hata maneno asiyoyajua kutokana na raha aipatayo.
Mtu
anaweza kuona kuwa hii ni sehemu ndogo sana ambayo haina mchango wowote
katika kumpa raha mpenzi wako,ukweli ni kwamba hii si sehemu ya mchezo
hata kidogo kwani mwanaume/mwanamke hupata raha sana anaposhughulikiwa
masikio yake, kwani masikio ni kiungo chenye uwezo mkubwa sana wa
kuleta/kuamsha hisia zilizolala.
Namna ya kudili na kiungo hiki.
*Hakikisha
masikio yako yako safi kila wakati na si muda wa kufanya mapenzi
pekee.Usafi huu hufanywa wakati wa kuoga na baada ya hapo unaweza
kutumia cotton buds (pamba za masikio) ili mkuondoa uchafu uliopo sehemu
ya ndani kabisa ya masikio.
*Wakati
mmeanza kushikana na kuchezeana hapa na pale,anza kwa kumnong’oneza
mpenzi wako huku ukimwambia maneno matamu,baada ya muda mfupi anza
kumbusu masikioni kwa upole na taratibu (mabusu yasiyo na sauti).
*Baada
ya kumwagia mabusu yenye sauti ya chini anza kulamba sehemu yake ya nje
ya masikio huku mikono yako ikimpapasa mgongoni na sehemu nyingine kwa
mahaba. Waweza kumtekenya kidogo huku ukimpa maneno ya kuliwaza.
*Anza
kuuchomoa ulimi wako na kuungiza katika kona mbali mbali za sikio la
mpenzi wako huku ukishusha pumzi taratiibu. Waweza pia kufyonza kimtindo
kijishimo cha sikio na ukifanya hivi utamwona tu mpenzi wako anaruka
kwa msisimko wa ajabu.
Usimfyonze kwa nguvu kishimo cha sikio kwani unaweza kumsababishia maumivu.
*Ukiendelea na shughuli hii nyeti mnaweza kujikuta
mnapiz kabla hata hamjafanya mapenzi,Kama hautaki kupoteza sana muda na
sehemu hii ya sikio waweza hamia sehemu zingine kama shingo,chuchu nk.
0 comments:
Chapisha Maoni