Muigizaji
maarufu wa Hollywood nchini Marekani, Shailene Woodley,amesema wiki hii
kuwa yeye hupenda kula udongo kila siku ili kuwa na afya bora. Shailene
anasema hupima kijiko kimoja cha udongo na kula kila siku.
Shailene
alinukuliwa akisema kuwa “Udongo unampa afya bora mwilini na anaonekana
kama chizi akisema hivyo ila anaamini ni kweli, udongo unasafisha mwili
na kukuweka sawa muda wote”
Tabia hii
alijifua kutoka kwa dereva mwafrika na aliona wakisafisha udongo kabla
ya kitendo cha kuula. Wanasayanci wanameipa jina tabia ya kula udongo
kuitwa Geophagy.
Shailene ulimuona kwenye filamu kubwa na star George Clooney iliyoitwa Descendants.
0 comments:
Chapisha Maoni