Ukizungumzia
mambo yetu yale kwa watoto wa kike basi ni wazi utakua unazungumzia
swala zima la urembo. Kuna tafsiri nyingi za msichana mrembo lakini kwa
hawa dada zetu wa kike waliamua kuongeza urembo wao kwa kuweka mkorogo
“bleaching” , full u-michael jackson Hizi ni baadhi za picha zinavyoonyesha wasanii hawa wa kike walivyokua mwanzo na walivyo sasa ;-
Penniel Mungilwa ‘DJ Penny’
Jackline Wolper
Wema Sepetu
Shilole
Ray C
Ruth Suka ‘Mainda‘
Wema Sepetu
Shilole
Ray C
Ruth Suka ‘Mainda‘
0 comments:
Chapisha Maoni