Text Widget

Recent Posts

Novemba 14, 2013

JEURI YA PESA YAMTESA WEMA SEPETU AVUTA MKOKO UNAOENDANA NA RANGI AIPENDAYO ZAIDI KATIKA MAISHA YAKE

                                                     Hiyo ndiyo gari mpya ya wema sepetu

 Haya ndio Maneno ya Martin Kadinda aliyoandika facebook na kuweka picha ya Wema akiwa na gari hilo

"samahani kwa ubora wa picha kuwa hafifu....... Ila huyu dada anapenda pink kupitiliza..... haya she gat new pink Car.... mkutane barabarani..." aliandika Martin

0 comments:

Chapisha Maoni