Hii ni video ya tukio hilo
Mtanzania anaye chezea timu ya kikapu inayoshikilia ligi kuu nchini Marekani iitwayo Oklahoma, Hasheem Thabit ,hatimaye anatumikia adhabu ya kufungiwa kutocheza mechi moja na kukatwa mshahara na timu yake baada ya kumpiga kichwa mchezaji wa timu ya New Orleans katika mchezo ulio kutanisha timu hizo ambapo timu ya New Orleans iliibuka naushindi wa vikapu 105 thidi ya 105.

0 comments:
Chapisha Maoni