Warembo wawili wenye umaarufu nchini na nje ya nchi ya tanzania wanaotambulika kwa majina Wema sepetu na Jokate Mwegelo ,ambao urafiki na ujirani wao ulipotea baina yao hivi kwa muda sasa baada ya sakata lao kuchukuliana bwana " DIAMOND PLUTINUMZ".Ila baada ya msiba wa baba mzazi wa wema sepetu Jokate alihudhulia msiba huo kulingana na maelezo ya maneger wa Wema sepetu ambaye ni Martin Kadinda, alisema" nimefurahi na kustajabu kumuona jokate akijumuika nasi katika msiba wa baba yetu mzee Abraham Sepetu maana ajawahi shirikiana nasi kwa muda mrefu sana sasa"hivyo msiba huo umeweza wakutanisha warembo hao.
Novemba 06, 2013
KILICHOANDIKWA BAADA YA WEMA NA JOKATE KUKUTANA MSIBANI
Posted on Jumatano, Novemba 06, 2013 by Unknown
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni