Text Widget

Recent Posts

Septemba 25, 2014

WEMA ADAIWA KUISHIWA SWAGGA MJINI ANUKULIWA AKIPONDA WANAOTUMIA SIMU AINA YA TECNO NA HUAWEI


KATIKA hali ya kushangaza, mrembo Wema Sepetu amesema watu wanaomponda kwenye mitandao ya kijamii, they don’t have life na wengi wao wanatumia Tecno na Huawei kulog in.

Akichezesha taya na Ephraim Kibonde katika kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, Wema amesema watu hao hawampi shida hata kidogo kwani wamepiga na yupo juu zaidi yao.

0 comments:

Chapisha Maoni