Text Widget

Recent Posts

Septemba 26, 2014

MABONDIA WAPIMA UZITO KUMENYANA KESHO.

aBondia Nasibu Ramadhani Kushoto akitunishiana misuli na Mohamed Matumla baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao kesho jumamosi september 27 katika ukumbi wa Frends Corner Manzese Dar es salaam Picha na SUPER D BLOGbMratibu wa mpambano wa ngumi Ibrahimu Kamwe katikati akiwangalia mabondia wa kike Lulu Kayage kushoto na Fatuma Yazidu wanavyo tunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao
cLulu Kayage na Fatuma Yazidu wakitambiana baada ya kupima uzito

dBondia Nassibu Ramadhani akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Mohamedi Matumla
eMohamed Matumla akipima uzito
fBondia Nassibu Ramadhani na Mohamed Matumla wakinuliwa mikono juu na Mratibu wa mpambano huo Ibrahimu Kamwe katikati  mpambano utakaofanyika jumamosi hii katika ukumbi wa Frends Corner Manzese picha na SUPER D BLOG
gBondia Juma Fundi na Issa Omari wakinuliwa mikono juu na Mratibu wa mpambano huo Ibrahimu Kamwe katikati  mpambano utakaofanyika jumamosi hii katika ukumbi wa Frends Corner Manzese picha na SUPER D BLOG
hBondia Lulu Kayage akipimwa na Daktali baada ya kupima uzito kushoto ni m,pinzani wake Fatuma Yazidu.

0 comments:

Chapisha Maoni