Text Widget

Recent Posts

Agosti 12, 2014

RIHANA AVAA VAZI LA KULALIA MTAANI


Rihanna anatajwa kuwa moja kati ya watu maarufu ambao aina yao ya uvaaji haitabiriki na mara nyingi amekuwa akigombana na wana maadili huku akipewa sifa za umalkia wa mavazi na wanaomsapoti. Rihanna ambaye yuko kwenye Tour ya Monster na Eminem, amepata mapumziko kidogo na kuamua kutoka kwa ajili ya kupata chakula cha usiku kwenye mgahawa lakini mavazi aliyoamua kutoka nayo huenda yanampendeza yeye peke yake.
Mwimbaji huyo alitoka na vazi la usiku laini huku chini akiwa amepiga sneakers zake zenye rangi nyeusi.

0 comments:

Chapisha Maoni