Sasa basi ametoa sababu zake akisema alikuwa na akili timamu alipokuwa anafanya hivyo.
Johnsonaliishangaza
jamii ya wanamuziki wa kizazi kipya, kufuatia kitendo chake cha kukata
uume wake Kaskazini mwa Hollywood mwezi Aprili. Madaktari walishindwa
kunguanisha sehemu aliyoikata na sehemu nyeti ya mwili wake.
Tangu hapo alikimya kwa miezi miwili akipokea matibabu.
Lakini aliamua wiki hii kujieleza kwa nini alichukua hatua hiyo na kuambia kituo cha televisheni cha E! nchini marekani''Ndio nilikuwa nimetumia dawa za kulevya , lakini nilikuwa najifahamu.''
Nilikata sehemu yangu ya siri kwa sababu hiyo ndiyo ilikuwa chanzo cha
masaibu yangu. Suluhu langu kwa masaiibu yangu ni kwamba nimeelewa kuwa
kitendo cha ngono ni cha mwanadamu, mimi sio mwanadamu, 'mini ni
mungu''.......''vitendo vya ngono viliniingiza katika matatizo mengi.
Mimi siko hapa ardhini kama mwanadamu bali mungu ''
Matamshi yake Johnson, yanaonekana kama ya mtu anayekabiliwa na matatizo
ya kiakili, lakini Johnson anasisitiza kuwa yuko timamu , yeye sio
kichaa.
Alisema amekuwa akipata matibabu ya kisaikolojia lakini daktari alimwambia hana matatizo.
''Watu wananiona kama mimi ni mwendawazimu, kwa hivyo sikutaka kuongea sana kuhusu swala hilo. ''
"sikutaka kujiua ,'' alisema Johnson.''
"hilo ndilo jibu langu kwa kitendo nilichokifanya. Leo nafurahi niko hai, na hilo ndilo jambo muhimu zaidi, hata bila ya uume wangu. ''
chanzo:bbc
0 comments:
Chapisha Maoni