Mke
wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akifuatilia matukio kwenye ukumbi wa
Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama unaoendelea jijini Seoul, Korea
Kusini. Wa pili kulia ni Rais mstaafu wa Mali, Prof. Dioncounda
Traore. Wa kwanza kushoto ni Rais wa Samoa, Bw. Tui Atua Tupua Tamasese
na mkewe Bibi Filifilia Tamasese. (PICHA NA IRENE BWIRE WA OWM).
Baadhi
ya wajumbe kutoka Kenya, Tanzania na Lesotho ambao wanashiriki Mkutano
wa Dunia kuhusu Amani na Usalama unaoendelea jijini Seoul, Korea Kusini. (PICHA NA IRENE BWIRE WA OWM).
Mke
wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda (katikati) katika picha ya pamoja na
Rais wa Samoa, Bw. Tui Atua Tupua Tamasese (kulia) na mkewe Bibi
Filifilia Tamasese (Agosti 12, 2014). Wa pili kushoto ni Katibu Mkuu wa
Universal Peace Federation (UPF), Bw. Tageldin Hamad ambao wameandaa
mkutano huo. (PICHA NA IRENE BWIRE WA OWM).
Mke
wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda (katikati) katika picha ya pamoja na
Katibu Mkuu wa Universal Peace Federation (UPF), Bw. Tageldin Hamad
(kushoto) ambao wameandaa mkutano huo. Kulia ni Dk. Amalberga Kasangala
kutoka Tanzania ambaye pia anashiriki mkutano huo. (PICHA NA IRENE BWIRE
WA OWM).
Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akiwa na Rais wa Universal Peace Federation (UPF), Dk. Thomas Walsh (kushoto)
na wajumbe wengine wanaoshiriki Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na
Usalama unaoendelea jijini Seoul, Korea Kusini. (PICHA NA IRENE BWIRE WA
OWM).
Mke
wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akiwa na wajumbe wengine kutoka Afrika
Kusini, Japan na Marekani ambao wanashiriki Mkutano wa Dunia kuhusu
Amani na Usalama unaoendelea jijini Seoul, Korea Kusini. (PICHA NA IRENE
BWIRE WA OWM).
0 comments:
Chapisha Maoni