Kiungo
wa Manchester United, Jesse Lingard akiondoka kwa msaada wa magongo
kutoka hospitali ya Bridgewater, ambako alikwenda kutibiwa mguu wake wa
kulia baada ya kuumia juzi katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya
England dhidi ya Swansea City Uwanja wa Old Trafford. United ilifungwa
2-1 na beki huyo anaungana na majeruhi wengine wa klabu hiyo mwanzoni
mwa msimu, Jonny Evans, Rafael, Luke Shaw, Antonio Valencia, Danny
Welbeck, Anderson na Michael Carrick.
Agosti 18, 2014
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni