Text Widget

Recent Posts

Agosti 12, 2014

BAADA YA NISOME,GODZILA AJA NA UJIO MPYA NA DIAMOND PLATINUM

              MWANAMUZIKI maarufu wa muziki wa Hip Hop nchini amewataka mashabiki wake kuwa tayari kwa mapokezi ya wimbo wake mpya aliomshirikisha Diamond Platnum.
               Ayasema haya leo jijini Dar es salaam alipokuwa akizungumza na mwandishi wetu kuwa wakae mkao wa kula kwani wimbo huo una radha tofauti na wanavyomjua.
             "Nina wimbo wangu mpya niliofanya na Diamond ambao wote tumechana nu bonge la wimbo na ni zawadi kwa mashabiki wangu".Alisema.
              Godzila ambaye yuko chini ya label ya Mj record aliongeza kuwa mashabiki wake wategemee ujio wa video ya wimbo wa nisome ambayo unakuja hivi karibuni.

0 comments:

Chapisha Maoni