ROMA
ametimiza kile alichowaahidi mashabiki wake katika Kombe la Dunia
lilifanyika huko Brazil, ambapo aliwaahidi mashabiki wake kuwa endapo
Germany ingeshinda walipokipiga na Brazil basi angehama toka Tongwe
Records kwenda Sharobaro kwa Bob Junior na kufanya nae kazi.
Akapost manejo haya hala chini:
Baada
ya Germany kushinda ile ahadi yake ikabidi aitimize na sasa ngoma hii
mpya ambayo itakuja hivi karibuni amempa shavu Bob Junior, Wengi
wanaisubiri kwa hamu….!!!
0 comments:
Chapisha Maoni