Picha
juu na chini ni tukio lililotokea muda si mrefu maeneo ya TMJ Hospital
Majambzi yalikuwa yakikimbia kwa mguu yakitokea msasani kwa Nyerere
walilishambulia basi la wafungwa la Magereza lililokuwa likisindikizwa
na gari lingine nyuma lililokuwa na askari magereza. Shambulio hilo
limewajeruhi wafungwa na baadhi ya asakari hao wa Magereza, hakuna mtu
aliyekufa na majambazi yametokomea kusikojulikana. Mahabusu
wanashangilia hapa na shughuli zote zimesimama hapa
Julai 02, 2014
NEWS: MAJAMBAZI YASHAMBULIA BASI LA WAFUNGWA LA MAGEREZA NA WATOKOMEA KUSIKO JULIKANA
Posted on Jumatano, Julai 02, 2014 by Unknown
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni