Nadhani ulipata muda wa kuyaangalia magari ya kifahari
wanayomiliki wasanii wa bongo , sasa ni zamu ya judge wa Tusker Project
Fame na Producer hatari hapa bongo kutoka B’Hits namaanisha Hermes
Baraka au Hermy B kukuonyesha magari ya kifahari anayomiliki. Hermy B
anamiliki Toyota LandCruiser VX, Range Rover Sport, Nissan Murano and a
BMW 3-Series.Duh! noma sana aisee
Posted in
|
0 comments:
Chapisha Maoni